ENTERTAINMENT

Jux ft Diamond Bora Nienjoy Lyrics

Jux ft Diamond – Enjoy Lyrics

Bora Nienjoy lyrics

Ni leo,acha tu niwaweke wazi

Mbaki na mishangao, kuhusu haya mapenzi nataka kuyaeleza

Na leeeo, tena waiteni paparazzi,

warushe kwa mitandao

Siyataki mapenzi, nataka jipongeza

Unaemwita your beiby, kumbe naye ana beiby

Oooh. Unayemwona kipenzi,ni mshenzi hakupendi

Ama kweli mtihani, mambo mengi duniani

Mimi stressi siweezi oooh siweezi

(Aaaaah)

CHORUS ( X 2)

Bora nienjoy pri pi pi pi pi pi

Maisha mazuri yaani simple ( Kri ka daktita)

Yanini niteseke roho, jiunge nami upoze koo

Kama kupendaaa, bora nimpende mama yangu (mmmmh)

Kama kupendwa mimi, nitajipenda peke yangu(ooooh)

Kilicho niponza faala, kujiona simba kumbe swalaa

Kazama kwenye mapani uchwala

Badala ya kusaka mia maraa

Ai Ohhh. Toka ni date pesa,(Eeeheeh)

 saa hii napendeza (Eeeheeh)

Natena naenjoy, (Eeeheeh)

 na wanangu my home boys (Eeeheeh),

Accounti inasoma(Eeeheeh),

 Na kamwili kananona(Eeeheeh),

we mwenyewe si unaona

Aaaai nasema boraaaa

CHORUS ( X 2)

Bora nienjoy pri pi pi pi pi pi

Maisha mazuri yaani simple ( Kri ka daktita)

Yanini niteseke roho, jiunge nami upoze koo

napenda nikilewa nipande juu ya meza,

minjonjo, natema kingereza,

tupande juu ya meza, tupande juu ya meza

tupande juu ya meza

za za za za za

CHORUS ( X 2)

Bora nienjoy pri pi pi pi pi pi

Maisha mazuri yaani simple ( Kri ka daktita)

Yanini niteseke roho, jiunge nami upoze koo

Jux ft Diamond

Related Articles

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button

Adblock Detected

Please turn off the Ad block